Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Arsenal ndiyo chama langu toka 1996 labda ife ndo nitatafuta chama lingine ila kupata matokeo mabovu,kushuka daraja ni sababu za kimpira,sasa hivi kikwazo ni wenger,ni mapito tu,huyu wenger ataondoka tu na tutarudisha zile enzi za ushindi
Siku akiondoka wengi tutaonekana tena mkuu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom