na kwako pia Cole WilliamsAsubuhi njema kwenu.
CantstopwontStop
sawa mkuuu........🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁🙁[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
CantstopwontStop
Sanaa muhimu kupambana au sio myoyashwari kabisa...siku imeshika kasi
kweli mkuu miti yote ilitelezaHahaha
ulimfata arsenal hahaha?
mana hata ungeweka gg ungeliwa tu,siku ya kufa nyani
Mwenyekiti kibakandukiiii..... mwanaume masine sio kuhongaaaa
duh!Names of presidential candidates misspelt
Siku akiondoka wengi tutaonekana tena mkuu.Arsenal ndiyo chama langu toka 1996 labda ife ndo nitatafuta chama lingine ila kupata matokeo mabovu,kushuka daraja ni sababu za kimpira,sasa hivi kikwazo ni wenger,ni mapito tu,huyu wenger ataondoka tu na tutarudisha zile enzi za ushindi
sijawah kuelewa kbs hiyo sentesi yako ngoja nikuchape BANMwenyekiti kibaka
CantstopwontStop
Au pale Indira Ghandi zamani ukiitwa market street na aggreyHahaa... Nikitaja mtaa nitakuwa nimeji unmask mkuu! [emoji3]