Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

NABII (ISA) YESU ALIFUNDISHA HIVI KTK MATHAYO 10:8

"POZENI WAGONJWA , FUFUENI WAFU, TAKASENI WENYE UKOMA, TOENI PEPO, MMEPATA BURE, TOENI BURE.

NAMI NICHUKUE NAFASI HII KUWAFIKISHIA MANENO YA MUNGU BURE BILA KUWATOZA KM WAFANYAVYO WENGINE.

UKUMBUSHO WANGU KWENU NI KUHUSIANA NA SWALA HILI LINALOIBUKA KWA KASI KTK JAMII YETU,

SWALA LA USHOGA.

7db4b280942328fc6f7696e05ac2fa89.jpg


Siku hizi imekuwa si ajabu tena kusikia fulani ni shoga.

Tena kuna hata baadhi ya nyumba za ibada ambazo husapoti vitendo hivi vya kishoga,. Mwanamume kuolewa ktk nyumba ya ibada imekuwa fasion.
Sijui wameyatoa ktk kitabu gani hayo mambo !?

Ila ikumbukwe kuwa walio wahi kufanya vitendo km hvyo huko sodoma na gomora Mwenyezi Mungu aliwapa adhabu kali sana

Em TUJIKUMBUSHE kilicho tokea enzi hzo kupitia RUMI 1;25

@"Kwa maana walibadili kweli ya Mungu kuwa uongo wakakisujudia kiumbe na kukiabudu badala ya muumba anaye abudiwa milele amina.

Hivyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu hata Wanawake wakabadili matumizi ya asili kwa matumizi yasiyo ya asili

Wanaume nao vivyo hivyo, waliacha matumizi ya mke ya asili wakawakiana tamaa wakiyatenda yasiyo pasa, wakapata nafsini mwao malipo ya upotevu wao yaliyo haki yao

Na kama walivyo kataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafate akili zao zisizo faa wafanye yasiyo pasa. @

9a0eadae842d70fff2c16c2db703037e.jpg


Lkn pia huku ktk quran 26:165-166 Allah aliwaambia hivi

"je mnawaingilia wanaume katika viumbe (vyake Mwenyezi Mungu)

Na mnawacha alicho kuumbieni Mola wenu katika wake zenu ? Kweli nyinyi ni watu mnaovuka mipaka."

ADHABU YA ULAWITI

Adhabu waliopewa hawa walawiti ilikuwa ni kifo kwa mujibu wa maandiko

Ibn Abas amesimulia ktk kitabu cha adhabu za kisheria sunna Al Tirmidh kitabu cha 17 hadith 40 no 1456 kwamba

@"Mkimfuma mtu anafanya tendo la kaumu Lut, basi muueni mfanyaji na Yule anaye fanyiwa @

Pia ktk kitabu cha

WALAWI 20:13

Tunaambiwa hivi

"Tena mtu mume akilala na mtu Kama alalavyo na mtu mke, wote wawili wamefanya machukizo hakika watauawa, damu yao itakuwa juu yao "@

Na ushahidi kuwa watu walio jihusisha na vitendo hivi waliuawa ni

QURAN 15:73-74

"Mara adhabu ikawakamata lilipotoka jua (tu).

Basi tukaifanya (miji ile chini juu) juu yake kuwa chini yake, na tukawamiminia mvua ya mawe ya udongo wa motoni" @

7684bdb10fd76a8c8da2db4dc0969ddb.jpg


Mi yangu ni hayo tu !!

Nb:tumeambiwa tupost chochote mtu anacho jisikia, Hvyo sitarajii mjadala zaidi ya like zangu tu.

95d969104a7bb1ec59a7c4f0a6de6bef.jpg


Ondoeni picha zangu majumbani mwenu, mimi sio yesu
Ujumbe murua,salute na like pia
 
Back
Top Bottom