Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kasi ya kupakuwa na kutuma kitu mtandaoni ni 40Mbs (Megabytes 40 kwa sekunde) kifaa kikiwa katika umabli wa mita 9 mpaka 10.
Li-Fi inatumia teknolojia ya taa za LED hivyo wingi wa taa za LED utawezesha kasi zaidi pale unapotumia huduma ya intaneti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…