Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
I remember everything
CantstopwontStop
CantstopwontStop
Mwana Aseno na mechi wapi na wapi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Usitumie Aseno na mechi kwenye sentensi moja.Mh we mwana arsenal una big match?
mana hayo mavitu si mchezo😱
Angalia mpk Dk ya 5 sekunde ya 13 utamuona Rais wa sasa wa Marekani.
Zamani tuliamini hivyo. Kulikuwa na dogo mmoja alikuwa golikipa wetu alikuwa na mzinga wa kitambi. Yaani nilikuwa namwonea wivu balaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahahMwana Aseno na mechi wapi na wapi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Usitumie Aseno na mechi kwenye sentensi moja.