Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,740
- 76,383
Moja ya faida ya mlonge ni energetic food/drink/fruit/vegetable inasaidia kuondoa uchovu(fatique) na kukufanya uwe active especially kama una safari za hapa na pale au kazi nyingi,sema wabongo ukitaja mlonge wanakuogopa😎😎Mlonge umenishtua ila kila la kheri kwenye tizi yako baba viv at least ntakuwa na shemeji mpiga vyuma[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23]
Basi heriKwema