AhhaahaNifute App ya jamiiforums niipendayo ?'loo huwa nakuamini sana lakini ....
Sent using Jamii Forums mobile app
AMUN RANgoja nimuwahi Mzee wa Liva leo [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Ai emu faini mai dia/lavu...
AMUN RA
[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Kazi kaziSawa baba viv[emoji123]
HahahahaNgoja nimuwahi Mzee wa Liva leo [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Ai emu faini mai dia/lavu...
AMUN RA
[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Mfalme wa barabara za Afrika. Ninayo ya mwaka 1996 nimeigeuza pikapu imezeeka balaa lakini inakata mitaa ya Usukumani vizuri tu. Ukiipeleka kwa fundi anakwambia injini bado nzima kabisa wewe fanya oil change tu. Basi unajaza matenga ya nyanya unavyotaka na samaki na inakupeleka unakotaka kwenda bila wasiwasi. Kwa hii, hasa zile za mwanzo mwanzo, Mjapan alicheza Pele kwa kweli !!!