Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yeah. Kuna hii app ya lookout pia inasaidia. Ukipoteza simu unalogin kwenye kompyuta na inakuuliza kama unataka kui-lock au kui-rest kabisa hiyo simu iwe kama mpya ndo inatoka kiwandani. Wana encryption nzuri na ukisharest mtu wa kuweza kufukua na kupata vitu ulivyofuta inabidi awe hacker mzuri sana. Ndiyo nilitumia na nilikuwa na ile ya kulipia. Halafu uzuri mtu akijaribu kulog in kwenye simu yako akakosea mara tatu basi inampiga picha na kukutumia pamoja na location yake.
Mambo mazuri haya
 
badb4ee800f57f20eb1cea6be5c7ce5c.jpg
 
Serikali ya Korea Kaskazini imeweka utaratibu maalum kwa wananchi na watalii wanaotembea nchi hiyo wanapotaka kupiga picha.

1. Unapotaka kupiga picha sanamu au picha ya "viongozi wapendwa" wa nchi hiyo Kim Jong Il, Kim Il Sung na Kim Jong Un ni lazima upige picha sanamu zima au picha nzima, ni marufuku kupiga kipande au nusu picha. Ni marufuku pia kuchora katuni za viongozi hao.
 
Ukienda kwenye eneo la ujenzi ni marufuku kuwapiga picha wafanyakazi wanaoendelea na ujenzi wala kupiga picha jengo lisilokamilika, ni lazima upige picha jengo lililokamilika na lenye kupendeza.
Ni marufuku kupiga picha wanajeshi au kambi ya jeshi, hili ni sharti gumu kidogo kwasababu asilimia 25 ya raia ni wanajeshi.
Ni marufuku kutembea peke yako na kupiga picha maeneo yaliyoharibika kama vile barabara mbovu au maduka ambayo hayajajaa bidhaa. Serikali ya Korea Kaskazini inajitahidi ulimwengu upate picha ya kupendeza kuhusu nchi hiyo.
 
Back
Top Bottom