Gordita
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 11,574
- 55,644
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Yeah. Kuna hii app ya lookout pia inasaidia. Ukipoteza simu unalogin kwenye kompyuta na inakuuliza kama unataka kui-lock au kui-reset kabisa hiyo simu iwe kama mpya ndo inatoka kiwandani. Wana encryption nzuri na ukishareset mtu wa kuweza kufukua na kupata vitu ulivyofuta inabidi awe hacker mzuri sana. Ndiyo nilitumia na nilikuwa na ile ya kulipia. Halafu uzuri mtu akijaribu kulog in kwenye simu yako akakosea mara tatu basi inampiga picha na kukutumia pamoja na location yake.Waaow hongera sana,maana isingekua password jamaa angeiuza
Bless your heart my dearestWadau leo nimebanwa kinoma
Wewe mchina mwambie rafiki yako nsamaka amechoka na tabia yake ya kugeuka geuka kuangalia misambwanda kila awapo naye. Khaa mtu gani hana heshima kwa mkewe?Nsamaka natarajia uwe ushamwambia Andjul neno kwa neno kwa yale umeambiwa na umejibu nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Good afternoon my dearestGood afternoon my love
Mwembie amekuja kuniomba radhi, nami nimeshamsamehe, haijalishi kaka yake SHIMBA ananikubali ama hanikubali mi namtorosha. kama mbwai na iwe mbwaiNsamaka natarajia uwe ushamwambia Andjul neno kwa neno kwa yale umeambiwa na umejibu nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona leo hueleweki?Mwembie amekuja kuniomba radhi, nami nimeshamsamehe, haijalishi kaka yake SHIMBA ananikubali ama hanikubali mi namtorosha. kama mbwai na iwe mbwai
Sent using Jamii Forums mobile app
Thiery HenryBabu nikikumbuka enzi zile za akina Ray Parlour, Galas,Thony Adam, David Seaman, Pires, na ile midfield kali kabisa, nabaki kumumpa heshima zake mzee wenga
Kwanza 1996Babu nikikumbuka enzi zile za akina Ray Parlour, Galas,Thony Adam, David Seaman, Pires, na ile midfield kali kabisa, nabaki kumumpa heshima zake mzee wenga
Back againKaribu tena baba viv[emoji5] [emoji4]