Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Desktop Backup Password – Zuia kuibiwa data kwa USB

Kila mmoja wetu ana tarifa zake za muhimu kama vile zile za kibenki, picha zile ambazo ni siri yako na mengine mengi ya siri katika simu yako. Na pia kumbuka hatutaka mtu aweze kuchukua Data za kwenye simu hii kwa kuunganisha na waya wa USB kwenye kompyuta.
 
Ili kuzuia aina hii ya wizi Android wana kipengele mahususi ambacho kinaweza kukusaidia katika hili. Unaweza weka nenosiri (password) kwa ajili ya ulinzi. Ulinzi huu utakuwa pale unapochomeka USB ili kuweza kuona mafaili yaliyopo katika kifaa kwa kutumia kompyuta basi itakulazimu uingize Nenosiri (password).
Ili kuliwezesha hili nenda katika Settings >> Developer Options >> Desktop Backup Password .Katika kifaa chako cha Android Kitu kingine katika vifaa vyetu vya Android ni Background Data
 
Zuia Baadhi Ya Taarifa Nyuma Ya Pazia – Utumiaji wa data (intaneti)

Wengi wetu tunalalamika sana kuwa simu zetu hazikai na chaji na MB/GB zinaisha kimazingara. Ubaya wa chaji ya simu na hata bando ni kwamba huwa zinalika hata kwa zile App ambazo hatuzitumii muda huo ambazo zinajiendesha kwa siri nyuma ya pazia.
 
Bro, we nifundishe tu paraboz za kufa mtu. Au nami nitafutie singo maza huko kijana kijana....
eeeeehhhh kumbe eeehhhh[emoji53] [emoji53] [emoji53] [emoji53] [emoji53] [emoji53] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Lakini kumbuka una uwezo wa kuzizuia App hizo kula Data zako au hata kuzifanya kula kidogo. Ili kuwezesha hilo nenda katika Settings >> Data Usage.
Ukiingia hapo utaona kiwango cha data kinacholiwa na kila App katika simu yako. Hapo unaweza ukaamua kukataza App ambazo huzitumii mara kwa mara kuweza kula Data.
 
Utani wa mitandaoni huu bro. Hakuna la ajabu hapo. Baba Viv na Mama Viv (wa kambo). Niu kapo in town [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji53] [emoji53] [emoji53] [emoji53] [emoji53] [emoji20] [emoji20] [emoji20] [emoji20] [emoji20] [emoji15] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Back
Top Bottom