moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mbali na lile somo la milonge, hili pengine ndiyo somo la muhimu zaidi. Niliwahi kupoteza simu iliyokuwa na mambo ya muhimu sana na niliweza kui-lock kabisa isifunguliwe na mtu mwingine hata wakifanya hata hard reset. Halafu pale juu ikawa inaflash jina langu na email yangu na ujumbe wa kunirudishia. Naona jamaa alikata tamaa na akaamua kunirudishia tu. Wakati mwingine haya mambo yanasaidia...Ili kuzuia aina hii ya wizi Android wana kipengele mahususi ambacho kinaweza kukusaidia katika hili. Unaweza weka nenosiri (password) kwa ajili ya ulinzi. Ulinzi huu utakuwa pale unapochomeka USB ili kuweza kuona mafaili yaliyopo katika kifaa kwa kutumia kompyuta basi itakulazimu uingize Nenosiri (password).
Ili kuliwezesha hili nenda katika Settings >> Developer Options >> Desktop Backup Password .Katika kifaa chako cha Android Kitu kingine katika vifaa vyetu vya Android ni Background Data
Tunapeleka lini mapera na biskuti kwa Viv? Tukodi limo tukatingishe mtaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duuuhhhh SYB
Babu nikikumbuka enzi zile za akina Ray Parlour, Galas,Thony Adam, David Seaman, Pires, na ile midfield kali kabisa, nabaki kumumpa heshima zake mzee wengaNikikumbuka tu msimu wa 1997/98 na 2003/04 vinanifanya niipende tu arsenal no matter what
Mbali na lile somo la milonge, hili pengine ndiyo somo la muhimu zaidi. Niliwahi kupoteza simu iliyokuwa na mambo ya muhimu sana na niliweza kui-lock kabisa isifunguliwe na mtu mwingine hata wakifanya hata hard reset. Halafu pale juu ikawa inaflash jina langu na email yangu na ujumbe wa kunirudishia. Naona jamaa alikata tamaa na akaamua kunirudishia tu. Wakati mwingine haya mambo yanasaidia...
Kuna chakula kinakuja au haya maua tu ndo imetoka?
Maskini Jakitoo,Tunapeleka lini mapera na biskuti kwa Viv? Tukodi limo tukatingishe mtaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ishakuwa kizaa zaa. Likimbunga limeegesha hapo kama gari bovu mvua inanyesha tu non stop, tena wanasema sasa limeanza kufyonza tena moisicha kutoka baharini na hivyo kuongeza nguvu. Ni tatizo kubwa !!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] itabidi kwakweli.... twende jumamosi babeTunapeleka lini mapera na biskuti kwa Viv? Tukodi limo tukatingishe mtaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
IndeedUkiona ISIS na likes 5 wewe muongezee ziwe 6.
Hanijui mumeo, mi huwa nafikisha pesa tu kwenye eneo husika, lakini mrembo kama wewe lazima nita-divertHahaha dah nyie watu lkn