Mtaleta wote mwana asenali weyeHayo mapera unayapeleka lini? Nikusindikize?
Karibu mkuuBack again
Mkuu, mimi sihusiki. Huyo ni mke wa mtu na utajuana na mumewe. Tulishakula mahari ng'ombe 30 (tukadhulumiwa wengine 15) na ameshatoka mikononi mwetu. Jiandae kupambana na mumewe !!!Mwembie amekuja kuniomba radhi, nami nimeshamsamehe, haijalishi kaka yake SHIMBA ananikubali ama hanikubali mi namtorosha. kama mbwai na iwe mbwai
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahaSema mkuu. Inaonekana nshapinduliwa. Jamaa kaingia na gia ya Ubaba Viv na uchungaji. Sina changu mkuu...
Singo faza keshafanya yakeee [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️.