Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
We don't need nobody watching us
CantstopwontStop
CantstopwontStop
Lugha zao hazina herudi "M", mahali penye "M" huweka "N"[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] "M" ni mgogoro kwao kuitamka
Lugha zao hazina herudi "M", mahali penye "M" huweka "N"[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] "M" ni mgogoro kwao kuitamka
Hayo mapera unayapeleka lini? Nikusindikize?Msalimie viv mwambie ntamletea mapera[emoji13] [emoji13]
FundiFundi seremala acha ubabaishaji, acha dhulma fanya kazi yako kwa uaminifu
Sent using Jamii Forums mobile app
May be katumbuliwa. Awamu hii yu neva noooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Masaibu gani yamemkuta huyu!? Mbona kanuna hivi?
Sijajua bado ni lini.... of course hun kwanini tusiende woteHayo mapera unayapeleka lini? Nikusindikize?
Lazima iwe hivyo, mnapenda kuwalalia mafundi kwenye mapatano. Lazima mtoe pesa kivingine. hakuna namna. hutaki tengeneza mwenyewe[emoji3] [emoji3] [emoji3] teh teh teh[emoji3] [emoji3] [emoji3]Fundi magari acha kuongea na wenye maduka ya vipuri ili kujipatia cha juu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama huna kidumu cha mafuta kwenye gari yako bao linakuhusu[emoji3] [emoji3]Askari usalama barabarani acha kutafuta vitu vilivyojificha ili ukamue
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema mkuu. Inaonekana nshapinduliwa. Jamaa kaingia na gia ya Ubaba Viv na uchungaji. Sina changu mkuu...[emoji33] [emoji33] [emoji33] Shimbaaa......