Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

b1f10c7439cfcd1061fd602396d33d91.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nawe umechukia? Au kwa niaba ya....
 
Kuna Bwana mmoja alivuma sana hasa khs matibabu yake,
Alizungumzia madhara ya vitambi kila mara,
Aliwachuuza sana watu kwa style yake ya kuegemea kwenye imani ya dini,
Aliitwa Dr Ndido,
Ajabu pesa ilipomtembelea akafura mashavu na tumbo lake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Alisema kwa siku tengeneza juisi ya malimao 30 halafu endelea kuyapunguza 5 kwa kila siku zijazo.Cha ajabu yeye ndio mnene kuliko wanene wenye uhitaji wa kupungua
 
Back
Top Bottom