Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni nyembamba kuliko toleo la S6, Galaxy S7 na S7 Edge zinaupana wa mm 7.9.

Kioo (display) cha inchi 5.1,Quad HD AMOLED

Kuna teknolojia ya ‘Always-on Display’ imetumika. Teknolojia hii ambayo ilitumiwa kwanza na LG katika simu yake ya LG G5 inaruhusu sehemu flani tuu ya kwenye kioo cha simu kutozika pale simu inapozima mwanga wa kioo.
 
Kupitia sehemu hii utaweza kuendelea kuona ‘notification’ muhimu kama vile muda, tarehe n.k – haya yote bila ku-unlock simu yako.

Pia wanasema display hii itatumia chaji kidogo zaidi ukilinganisha na kwenye S6

Kiwango cha RAM cha GB 4 pamoja na prosesa ya Snapdragon 820 na zingine zitakuwa na prosesa ya Exynos 8890

Kiwango cha diski uhifadhi cha GB 32 au GB 64 huku wakiwa wamerudisha uwezo wa kutumia memori kadi (microSD)
 
Inakuja na kamera ya Megapixel 12 (f/1.7)

Kamera katika Galaxy S6 ilikuwa megapixel 16, ingawa zimepunguzwa katika Galaxy S7 ila imetokea kutokana na maboresho mengine ya kamera yaliyofanyika hasa hasa katika kuongeza uwezo na ubora wa picha katika maeneo ya mwanga mdogo.
 
Hahahaha
huku jana nilikua naangalia mpira,salah alivopiga lile goli wakawa wanamuita nkatili nikauliza nkatili ndo vipi yani,wakasema lindi na mtwara ukisikia nkatili ujue huyo mtu ni noma,moto wa kuotea mbali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] "M" ni mgogoro kwao kuitamka
 
40c9c49dab9522111e19b6849ded6395.jpg
Jakii hi
 
Back
Top Bottom