[emoji106][emoji106][emoji106]There is nothing to fear but fear itself
Hahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimekaa Ntwara kwa miaka mitatu mfululizo...neema zao nilizipata kwa kweli.Hasa wakijua unatokea Dar,basi, unavamiwa na kila mrembo.Bhaa!!! Kwani je???
[emoji106][emoji106]
Ndio njia pekee ya kuyashinda magumu... Tafuta ada ili watoto wasomeTupo tunapambana na hali zetu