HahahahahBro, we nifundishe tu paraboz za kufa mtu. Au nami nitafutie singo maza huko kijana kijana....
HahahahahahUtani wa mitandaoni huu bro. Hakuna la ajabu hapo. Baba Viv na Mama Viv (wa kambo). Niu kapo in town [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu mzee acheni kumpostpost bhanaDa man himself [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
![]()
Leo andjul atakoma aisee hahaha.Hanijui mumeo, mi huwa nafikisha pesa tu kwenye eneo husika, lakini mrembo kama wewe lazima nita-divert
Sent using Jamii Forums mobile app
Haelewi huyu kaka yako jamaniMwambie braza aache kuogopa mie ni mtu salama kabisa😉😉
Man fongo hana nafasiHaelewi huyu kaka yako jamani