myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
nawatakia chai tamu..
MarahabaaNumbisa
Ngoja niombe ruhusa kwa andjulKaribu ushabikie Liverpool chama la wajanja, timu namba moja duniani yenye mashabiki wenye uwezo wa kushangilia bila kuchoka, bila kujali wamefungwa au wameshinda, dakika zote 90,na 30'za nyongeza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikikumbuka tu msimu wa 1997/98 na 2003/04 vinanifanya niipende tu arsenal no matter whatArsenal...[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Cheka kwa dharaaaaau[emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha dah nyie watu lkn