Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Teknolojia inabadilisha dunia kwa kiasi kikubwa sana miaka kadhaa iliyopita ningebisha kata kata kama jambo hili lingeweza kutokea. Hivi unajua unaweza ukatumia kamera ya simu yako ili kutafsiri lugha Fulani?

Kumbuka kuna maandhishi huwa yanaandikwa na mara nyingi tunakuwa hatuyaelewi kwa mfano ukiwa katika mgahawa ikaja menyu yenye maandishi ya kigeni hapo ndipo huduma hii utakapo ona ubora wake
 
Ukiwa na App ya Google Translate, ambayo inaweza kutafsiri lugha 29 utafanikisha hilo kwa kuweka kamera mbele ya maandishi yaliyoandikwa na hapo App itafanya zoezi zima la kutafsiri kwenda katika lugha unayotaka

3. Tumia Kama Kamera Ya Ulinzi
 
Hivi ulishawahi kuwa na hamu ya kutumia kamera ya simu yako kama njia ya ulinzi? Labda una kamzigo kako pale ndani na unataka ukachunge. Ondoka shaka kuna App maalum ambazo zinakuwezesha kufanya hayo yote. App hizi hutumia kamera ya simu janja ili kugundua mwondoko wa aina yeyote (motion) na kisha kukutaariffu kupitia barua pepe (e-mail) yako
 
4. Fuatilia Barcodes Za UPC


Wakati mwingine wakati ukiwa unafanya manunuzi ya vitu na ukawa huna uhakika kama unanunua vitu imara achana na ku Google, tumia kamera ya simu janja yako kuweza kuichunguza bidhaa hiyo.

Zile App ambazo zinamsaidia mtu ku’scan code’ za UPC zinampatia mtu taarifa za bidhaa katika kiganja chake kabisa. Ukiachana na taarifa kuhusiana na bidhaa bado utaweza kufananisha bei tofauti tofauti ya bidhaa hizo ili kujua kama umepewa bei nzuri au la
 
5. Shangaa Anga


App Ya SkyView
Hivi ushawahi kukaa usiku na ukawa unashangaa anga na ukaanza kujiuliza maswali kama baadhi ya vitu unavyoviona ni nyota au ni sayari zingine?
Sasa App ya Skyview kwa Android na iOs itakupa majibu yote

App hii inatumia kamera ya simu yako katika kukuonyesha jinsi anga ilivyo cha kufanya hapa wewe elekeza kamera ya simu janja yako katika anga.
 
Kumbuka kuna wengine wanazipenda sana simu zao na hata zikidondoka wao ndio huumia Hahaha!.

Kwa karne hii wengi wanatumia simu janja sana kuliko zile simu zingine (mwanga wa sabuni). Ukaribu wao wa kupitiliza na simu hizo pengine ndio unaosababisha uraibu (addiction) huo.
 
Back
Top Bottom