Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Baada ya kupigwa marufuku mifuko ya plastic huko Kenya, watu tayari wameshaona fursa....
0f61454aaff170d6b82d40b983a57c6f.jpg
 
19.Mwaka 2015 Korea kaskazini walibadili mtindo wao wa saa, dakika 30 nyuma.Lengo lilikuwa kukwepa kuwa na saa sawa na watani wao wa Korea kusini.

20. Mgao wa umeme ni jambo la kawaida sana Korea kaskazini. Ifikapo usiku serikali huzima umeme maeneo mengi kwa sababu ya uzalishaji wake kuwa wa kiwango cha chini.
 
Back
Top Bottom