Usiogope nsamakaEti eeeh
Teh teh teh hii inahitaji sehemu faragha ili nikunong'onezeWapi huko hebu ninong'oneze[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Habari ya majukum ni njema sana japo ratiba iko tight ht ka muda ka kuja huku kanakosekana.Salama tu habari ya majukumu
Humu tunapishana tu naona
Wapi kwa location mana transmission shida kidogoAfande huku kwema kabisa salama salmini
Nawashangaa sana[emoji20] [emoji20] [emoji20] [emoji20]Dah
Asante kwa faraja jakitoo mana hawa jamaa sijui nimewakosea nini mimi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naona leo unajifanya mbabe huku huku najua weakness yako[emoji23] [emoji23] [emoji23]Dunia haina huruma eeh[emoji445][emoji445][emoji445]
Me sijui huruma naitoa wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]