Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-08-28-21-22-15.png
 
Kwanza 1996
kikosi cha kwanza lazima david seaman umkute golini,mabeki lee dixon,tony adams(kiranja),Steve bould(mwili kabati) na Nigel winterburn
viungo unakutana na Ray Porlour(mapafu ya mbwa),Rame Garde,Patrick Vieirra,Denis Berkamp
fowadi Anelka(mapung'o) na Ian Wright,hapo mzee wenga ndo anatambulishwa epl
Ray Porlour namuona kama ndio kiungo bora kabisa kuwahi kutokea kwenye timu ya Arsenal.Kuna beki Lee Dixon mwenye sura ya kilevi muda mwingi alikuwa anajishika magoti anachungulia mbele tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom