Kiongozi.Asante sana mkuu kwa kuweka na majina ya nchi husika. Series itapendeza sana. Tena ikibidi zirudie zote zikiwa na majina ya nchi husika. [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Ni Tukuyu sehemu gani hii?
Good night malaika mwema. You are good person Jakitoo and that's why you will always be my friend and lover...no matter what. Lala salama na Mungu Akulinde ewe binti mwema usiye na mawaa [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Indeed honey yani leo usingizi haujakata[emoji13] [emoji8] [emoji8]Jakitoo siyo anda eitiini wewe. Tena atalala kwa amani ya kweli...like a baby !!!
[emoji23][emoji23][emoji23]. No laughing matter. Mkerewe una ujuzi na hawa gators. Ukienda na kuwabadilisha wote kuwa mijusi, aisee utaalikwa FEMA Hq hata ikulu utafika. Yego, time to be famous. Chsngamka !!!Alligator Sanctuary On Alert As Floodwaters Threaten To Unleash Hundreds Of Gators.
Roughly 350 reptiles potentially could swim out of their enclosures if water keeps rising.
Hatari ya watu kuanza kutafunwa na hawa Gators!
San Antonio hii mkuu.....Hii itakuwa ni Tukuyu mjini! Mpaka Posta wana deliver barua majumbani bhana, si mchezo!
Thanks baby. Uwe na siku njema leo. Kafurahi. Kasimame imara. Mwanamke wa shoka. Mungu hatakuacha. Nakuamini !!!
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]