andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Nadilisha hapo kwenye malaika halafu nitaje mimi.Hela ninayo,nshauza....Ningekuwowa malaika[emoji445][emoji445][emoji445]
Nadilisha hapo kwenye malaika halafu nitaje mimi.Hela ninayo,nshauza....Ningekuwowa malaika[emoji445][emoji445][emoji445]
Mtaala wa bongo ovyo tu,hapo nawaza 24yrs uko high school tena form5 then waenda chukua MD 5yrs mwaka wa 6 internship[emoji23][emoji23][emoji23]bado hujaangaika na kazi haki ya nani maisha haya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Natamani nianze darasa la kwanza lakini si kwa mtaala wa Africa.Muda mwingi tumepoteza kusoma historia tu
Mbona ka photoshop hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]msinipige mawe[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mkuu nilikuwa nakutafuta tangia mchana ili nikufikishie hizi salamu zako [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
![]()
Kwendaaa na madharau yako....
Siyo kweli shemeji. Singo maza nitamuweza kweli? Nitahangaika na Jakitoo mpaka kieleweke ikibidi atuchukue sote wawili kama kuchagua mmoja hawezi[emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo na wewe umekubali zizi lako livamiwe shemeji??
Mana nimesikia na wewe watafuta singo maza?
Nimepata taarifa et bob kavunja zizi la mkoromije na wewe ulikuwepo[emoji134] [emoji134] [emoji134] chineke nemmwaa!!!
Hapo sawa nimekuelewa[emoji23][emoji23][emoji23]ila inaelekea bob alikutingisha[emoji23][emoji23][emoji23]Siyo kweli shemeji. Singo maza nitamuweza kweli? Nitahangaika na Jakitoo mpaka kieleweke ikibidi atuchukue sote wawili kama kuchagua mmoja hawezi[emoji23][emoji23][emoji23]
At finally....Naamini jakitoo leo anakesha humu kwa ujumbe huu,no usingizi tudei[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]![]()
Good night malaika mwema. You are good person Jakitoo and that's why you will always be my friend and lover...no matter what. Lala salama na Mungu Akulinde ewe binti mwema usiye na mawaa [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Mimi?nina madharau??nimeanza lini?vyenye nipo mpole hivi??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwendaaa na madharau yako....
Usingizi umekata.Enheee...embu endelea[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]Mkuu nilikuwa nakutafuta tangia mchana ili nikufikishie hizi salamu zako [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
![]()
Usingizi umekata.Enheee...embu endelea[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Ila nawewe umepita njia ndefu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hapo kuolewa kwishney kalegaMtaala wa bongo ovyo tu,hapo nawaza 24yrs uko high school tena form5 then waenda chukua MD 5yrs mwaka wa 6 internship[emoji23][emoji23][emoji23]bado hujaangaika na kazi haki ya nani maisha haya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haihuu...achana na sisi tumeridhikaMbona ka photoshop hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]msinipige mawe[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hapo unafikiri unahitaji milonge kiasi gani ndiyo angalau uonekane kuwa you put up a resistance?Usingizi umekata.Enheee...embu endelea[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Mimi???Akhaa!!!Nimepata taarifa et bob kavunja zizi la mkoromije na wewe ulikuwepo
Jakitoo siyo anda eitiini wewe. Tena atalala kwa amani ya kweli...like a baby !!!At finally....Naamini jakitoo leo anakesha humu kwa ujumbe huu,no usingizi tudei[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sikuamini kabisaaaa,sikutaki hata kukuona. PyeeeeeeMimi?nina madharau??nimeanza lini?vyenye nipo mpole hivi??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nateseka na uzee huu kisa misambwanda.Kumekucha! [emoji3][emoji3]
Bob aliingia kama mchungaji aliyeokoka. Baadaye akageuka akaanza kusema anahitaji milonge. Gia ya mwisho akawa singo faza anayelea kabinti ka miaka mitatu kaitwako Viv. Basi Jakitoo hoi mpaka akajitolea kupeleka mapera. Hata alipoambiwa kuwa kaViv hakali mapera akasema atapeleka biskuti na milonge. Hapo ndo nikajua kuwa nimepigwa shemeji[emoji23][emoji23][emoji23]Hapo sawa nimekuelewa[emoji23][emoji23][emoji23]ila inaelekea bob alikutingisha[emoji23][emoji23][emoji23]