Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Nipo carba,nataka niongee na Yegomasika issue ya kuanza class one kuleeee kwao
Kwetu wapi? Kule kuliko ungua shoka na mpini ukabaki salama , ndani ya Ziwa Nyanza? Utafundishwa uvuvi tu! [emoji3][emoji3]