Love ipi hiyo Bob12Love begins with smile but end with tears
Sofia means WISDOM
Even your mom?
he! amepita kwako? ngoja nirudi
Hiyo hiyo unayoijua ColeLove ipi hiyo Bob12
CantstopwontStop
Ivi wewe mkund***u nini?Huyu mtu ni chizi kila sehemu lazima akosoe
Mchina mambo vipi
Umefurahiiiiiiiiiiii mwenyeweIndeed
Mbona mi siijui yeyote nipe angalizo Bob12Hiyo hiyo unayoijua Cole
Hahahahaha kweli kabisaHao vijana walionza kushabikia mpira enzi za 2005 wakati chelsea ndo inachomoza ndiyo wanahamahama timu hovyo ila sisi tulioshuhudia class of 92(wakubwa wataelewa) tunaamini katika timu moja hahahaha,tusibezane jamani ni mtazamo tu.
Shabiki wa United,Liverpool na Arsenal waje hapa tuzungumzie soka la zamani,hao wa chelsea na man city itabidi tuulize kwanza umri wao
Jino kwa jino