numbisa...Mwehu sio lazima aokote makopo
Kumbe wewe gunnersMkuu,
Mimi ni Arsenal damu nimeteseka kwa muda mrefu sana,
Historia ya Wenger ishaharibika kitambo,
Hata kama atapatikana kocha leo timu itachukua kipindi kirefu kuisuka sbb imeharibiwa vya kutosha,
Sasa hivi nashangilia magori tu,
Sichagui timu ya kushangilia kwa sasa na tyr nishazoea hali hiyo tangu miaka kadhaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
IndeedJAMANI HAPA BURUDANI
Uhalo wako peleka kwa b Abu yakoMimba uliyonayo inakupelekesha vibaya sana
HahahahahMbona mi siijui yeyote nipe angalizo Bob12
CantstopwontStop
Kesi bomba sana hiiBig win for Raila at supreme court as he is permitted access to IEBC technological systems
Indeednumbisa...
achana nae, sisi tunakuhitaji hapa kila siku
Pao mkuuhabar za siku wapendwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa mara ya pili Arsenal wamenichania mkeka dadeeeek.......