Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

10. Ghala ya Nyumbani

Nguo zako, vitabu vyako na vifaa vyako vinahifadhiwa wapi? Ukiwa na sehemu maalum kuhifadhi vitu mbalimbali itakusaidia kuwa na nyumba safi yenye mpangilio.

Kwa mfano, haina maana kuwa na uchoraji safi chumbani lakini kuiangalia kwa karibu zaidi mtu analazimishwa kuzogeza nguo na maboksi.

Kwa hiyo, ingawa kupamba nyumbani ni muhimu, fikiria utendaji wa nyumbani. Itakufanya uishi kwa faraja zaidi.
 
Nyumbani ni Nyumbani

Kwa hiyo tumejua kwamba fenicha na mapambo tunayonunua pamoja na namna tunavyo vipanga vina madhumuni zaidi ya kupendeza. Pia, zinaweka mazingira ya nyumbani yenye furaha, faraja na vinavyo onyesha utu wetu.

Iwapo ni fenicha ya kipekee, vitambaa tofauti au rangi, cha kukumbuka ni kwamba inabidi uwe na furaha kuishi nyumbani kwako. Kwa hiyo jisikie huru kufanya mabadiliko yoyote unayohitaji ili mpaka itakapo kutosheleza.
 
Eneo la kutosha la kuhifadhia kwa wamiliki wengi wa mijengo ni issue hasa pale familia inapoanza kukua, na ni tatizo hasa sebuleni. Kama tunavyojua sebule (zilizo nyingi) hazina closet au stoo lakini ni mahali ambapo familia nyingi zinatumia muda mwingi zaidi . DVD, matoy, game na vitabu ni baadhi ya vitu vinavyotakiwa kuwa karibu pale mnapokuwa kama famili pamoja sebuleni mki enjoy family time. Kuwa na sehemu ya kuhifadhi vitu hivi vya ziada inaweza kuwa changamoto
 
Nilishatembela nyumba moja nikakutana na kama hiki, kina zipu kwa chini (huwezi kuiona kikiwa kimekaa kama hivi). Wenyeji walikuwa wanahifadhia nguo zilizowaruka watoto zikisubiri kuwa donated na wenyewe walikuwa wanakiita benki ya nguo. Kikaptula cha mtoto kikimruka unasikia kiweke kwenye benki ya nguo. Wakati huohuo mtu anakikalia sebuleni. So nice...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…