Alan shearer alikuwa moto hatari nafikiri rekodi yake ya kufunga goli nyingi kwenye EPL haijafikiwa na yoyote mpka sasaHahahaha
nadhani unakumbuka 1995 blackburn rovers moto mweusi walivyoishangaza dunia huku haramia wa nyavu alan shearer akipiga goli za kutosha
Haramia wa nyavuAlan shearer alikuwa moto hatari nafikiri rekodi yake ya kufunga goli nyingi kwenye EPL haijafikiwa na yoyote mpka sasa
Leeds unitedWapi Blackburn
wapi leeds united
wapi newcastle united
wapi aston villa
dah aisee soka la sasa halina utamu kama enzi zile bhana
AMUN RAjambo la heri hilo
Jana na leoBob12
CantstopwontStop