Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

12. Vitambaa vya Jikoni

Tafuta vitambaa vizuri na vya pamba kwa ajili ya kufutia meza/ jiko na vingine kwa ajili ya kufutia vyombo. Haipendezi kuwa na vitambaa vya jikoni vya kanga iliyochakaa kisha ikachanwa, nunua vitambaa vizuri ili kupendezesha jiko lako na ni rahisi kuvisafisha na kugundua kama ni vichafu. Tofautisha rangi kati ya vile vya vyombo na vya kufutia meza.
 
14. Brender / Food Processor

Hii ni vyema ukawa nayo na itakusaidia katika mambo mengi. Unaweza ukawa na brender pekee na kama uwezo unaruhusu unaweza ukanunua food processor kabisa. Brender itakusaidia kutengeneza juice za aina mbalimbali na ukinunua yenye 2 in 1 utapata na kifaa cha kusagia karanga. Kama una motto mdogo food processor itakuwezesha kumtengenezea vyakula mbali mbali.
 
16. Toaster

Hutumika kukaushia mikate ili iweze kuwa na ladha nzuri, sio cha lazima sana ila ni kizuri kuwa nacho kama mfuko utaruhusu.

Kwa uchache hivi ni vifaa vya muhimu kwa maandalizi ya chakula
 
Huenda pengine ndio unaanza maisha ya kujitegemea au ya ndoa, unahitaji kuwa na vifaa vya msingi jikoni vya kuanzia kwa miezi michache ya mwanzo—hata miaka michache. Au labda ni mzazi unayetaka kumsaidia huyo kijana wako, binti au rafiki namna ya kuanza maisha. Pia kama ni bibi harusi mtarajiwa makala hii inakuhusu. Nimefanya kazi kubwa ya kutafiti katika maduka ya vifaa vya jikoni na kukuandalia orodha ya vifaa vya msingi kabisa vinavyotakiwa kuwepo jikoni kwa ajili ya kukuwezesha kuandaa chakula katika maisha yako hayo mapya.
 
Nia hapa ni kuonyesha orodha ya vifaa vya kawaida kabisa vya msingi vya jiko dogo la kisasa.
Ni rahisi kuangukia kwenye ushawishi wa muonekano lakini kitu kimoja cha kujua kwa kweli ni kuwa hauna haja ya kuvunja benki ili kuwa na vifaa vya jikoni vya kiwango. Orodha hii ya vifaa vya msingi jikoni inaweza kubadilika kutokana na hitaji la mhusika. Pia vyombo vya mezani kama vile sahani vijiko na glasi vinategemea zaidi ladha ya mtu binafsi na kwa sababu hiyo sijaviorodhesha hapa. Kwa hivyo vifaa vya msingi vya jiko dogo la kisasa ni kama vifuatavyo:
 
Back
Top Bottom