Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Natamani siku moja nianze kubet mkuuNimeangalia sana unatajataja tu timu
bila shaka unabet weye🙄
Natamani siku moja nianze kubet mkuuNimeangalia sana unatajataja tu timu
bila shaka unabet weye🙄
Wanasemaga hizi sababu zinafanya kazi popote. It's true [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]KWA MAONI YANGU SABABU KUBWA ZA ARSENAL KUFANYA VIBAYA NI HIZI:
1. Land alienation
2. Forced labour
3. Taxation
4. Low wages
5. Weak weapons
6. Lack of supervision/ lack of strong leadership
7. Hunger
8. Puppet leaders
CantstopwontStop
Ulisema umetendwa unataka kutendwa tenaHahahahaha
napenda wanawake wakorofi
Kwenye puppet wanamchezaji wao alikuwa anacheza huku mechi ikiwa inaendeleaWanasemaga hizi sababu zinafanya kazi popote. It's true [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mzee anajua kufundisha kila kitu kasoro kufunga na kuzuia.
Mpe hule ugonjwa maarufu watu wa pwani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na sijui kama.... Ila namng'oa kitu wallah tena[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji36]
Sema mnamuonea coz ukimwangalia anaumia na yyMzee anajua kufundisha kila kitu kasoro kufunga na kuzuia.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Kama meno bado iko