Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wanaume bhana
Mama yako mzazi kakuweka tumboni miezi 9,kakunyonyesha maziwa yake miaka miwili,kakulea kwa shida mpaka nawewe umekua handsomeπŸ˜‰πŸ˜‰,leo akikuomba laki 1 unampiga kiswahili ila demu wako umenyonya maziwa usiku mmoja tu na gari ukamnunulia 😱😱😱.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…