Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wanaume bhana
Mama yako mzazi kakuweka tumboni miezi 9,kakunyonyesha maziwa yake miaka miwili,kakulea kwa shida mpaka nawewe umekua handsome😉😉,leo akikuomba laki 1 unampiga kiswahili ila demu wako umenyonya maziwa usiku mmoja tu na gari ukamnunulia 😱😱😱.
Duuuuuuuuuuh noma kweli

CantstopwontStop
 
Ukurasa mpya ukifunguka cha kufanya ni kubonyeza ‘Ctrl + V’ kwa wakati mmoja na hapo utakuwa umeweza kuiweka ile nakala yako pale



Cha mwisho kufanya hapo ni kwenda sehemu ya ‘File’ na kisha u ‘Save’ kazi hiyo katika mfumo wa picha za kawaida (GPJ). Mpaka hapo utakua umefanikisha hilo
 
Ikifunguka bonyeza sehemu ya ‘New’ ili kuanza kuitumia



Bonyeza mwanzo wa eneo unalotaka kulichukua bila kuachia ‘Mouse’ shuka mpaka chini mwa eneo hilo na kisha achia ‘Mouse’ (Drag) baada ya hapo ‘Snipping Tool’ itafunguka na kuonyesha eneo ambalo umelichagua.
 
Mtindo huu ni unatumiwa zaidi na wanaotaka kuwachunguza wenzi (wapenzi) wao pindi wanapohisi kwamba sio waaminifu.

Wahalifu hawa (pengine anaweza kuwa mpenzi/mwenza wako) wanaingia katika whatsapp ya kwenye kompyuta kwa kutumia credentials zako, baada ya hapo wanaendelea kukuchunguza bila wewe kujua mpaka lengo lao linapotimia.
 
f1c349221d726b213f64f0e753e4a8ab.jpg
Ligoha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mfano umeniachia simu yako kwa dakika mbili tu inatosha mimi kuweza kuingia katika akaunti yako ya web (mtandao) katika kompyuta yangu bila ya wewe kupewa taarifa yeyote. hata kama wewe ukaenda na simu yako Marekani mimi nitaendelea kupokea kila kitu kinachoingia na kutoka katika Whatsapp yako.
 
kwa kifupi ni kwamba muhalifu anahitaji simu yako mara moja tu kuitumia kufungua akaunti yako ya Whatsapp katika kompyuta yake na baada ya hapo ataendelea kupata meseji unazotuma au kutumiwa, picha unazotuma au kutumiwa na video unazotuma na kutumiwa.
 
Walengwa wa uhalifu huu;

Huu uhalifu unawalenga watu wa aina mbili (2); moja ni watu walio na mahusiano yaani wapenzi, hapa unafanywa na mpenzi wako kwa lengo la kuchunguza kama “unachepuka”. Pili uhalifu huu unaweza kuwalenga watu wakawaida pale unapofanywa na wezi wa kawaida ambao wanataka kujua taarifa zako na nyendo zako.
 
Sheria ya makosa ya mtandao inasemaje juu ya hili!?

Sheria ya makosa ya mtandao ya mwaka 2015 haisemi moja kwa moja juu ya watu wanaotumia kompyuta kuwa spy wenzao bali kipengele cha 15 kinakataza mtu kutumia mfumo wa kompyuta kujifanya mtu mwingine kwa kutumia kompyuta. Pengine hii itakuwa ni moja ya changamoto ya sheria hii mpya kwamba haiwalindi watumiji zidi ya wahalifu wanaolenga kuwachunguza watu bila ruhusa.
 
Je unatumia simu ya android ambayo imekuwa slow sana kiasi kwamba inakukwamisha kuifurahia? makala hii itakupatia baadhi ya njia ambazo zitakusaidia kuiongezea kasi simu yako na kuirudisha katika hali yake iliyokuwanayo ulipoanza kuitumia.

Zipo sababu nyingi ambazo zinaweza kuifanya simu yako ya android iwe slow, nitakupa sababu moja moja na kisha njia ya kuweza kuchukua ili kuiondoa hali hiyo kulingana na sababu hiyo.
 
Kuzima app ambazo hauzitumiii na zinajiendesha katika background.

Simu janja zote zina uwezo wa kuendesha app katika background, iwapo haujazisimamisha app hizi ama haujaizima simu yako hata kwa wiki basi app ambazo zinafanya kazi katika background zitaendelea na kuifanya simu yako kuwa slow. Hapa unachotakiwa ni kuzima app zote ambazo unajua hauzihitaji kuendelea kufanyakazi katika background.
 
Kuondoa widget zote ambazo hauzitumii.

Widget ambazo mara nyingi tunazikuta pindi tunaponunua simu zetu zikiwa zimewekwa katika ukurasa wa mwazo wa skriini ni moja ya chanzo cha kufanya simu zetu kuwa slow maana zinachukua nafasi kubwa na nguvu kubwa ya simu ambayo ingeweza kutumiwa na simu kuongeza kasi katika utendaji wake wa kila siku. Kulitatua hili ni kuhakisha kwamba unafuta widget zotea ambazo huwa zinakuwa katika skrini ya mwanzo ya simu na unaziacha zile tu ambazo ni za muhimu kwako.
 
Ku-update software ya simu yako.

Simu ambayo haina software ambayo ni ya karibuni zaidi maranyingi inashindwa kufanya kazi katika kiwango na kasi inayotakiwa hivyo ni busara kuhakikisha kila wakati software ya simu yako inaenda na wakati kwa kuwa na software ambayo ni toleo la karibuni kabisa. Kuangalia kama simu yako inaendeshwa na software ambayo inaenda na wakati fungua Settings>about phone> systems update. kama kunatoleo jipya zaidi la software basi hapa litaonekana nautalipakua na kuanza kulitumia.
 
Back
Top Bottom