ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
duhUjumbe Kuntu. Mwanaume jembe, mwanaume anayejitambua, mwanaume hasa
Wanaogopa, wanawake wengi miaka hii ni tatizoHalafu wanawake wapo wengi tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mzee wa sadolin una mbwembwe weweKwa niaba yangu pamoja na matajiri wenzangu kina Bill Gate na Mark Zuckerberg naomba niwatakie usiku mwema
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahah
Anapiga cha tarime huyuSaa 4 hii unakwenda wapi? Au cha Kingston kimegoma?
Itakuwa wanawake hawataki kuolewa [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Halafu wanawake wapo wengi tu