ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Vipi mkuu, au unadhani amekosea kumkata makali wife wake aliyeanza kuleta longolongo zake
Embe ng'ong'o
Anataka kunigombanisha na andjul,Amekuwa shilawadu mkubwa nauona
24 PhD da si mchezoView attachment 57690424yrs bongo ndo kwanza uko high school dadeq