carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Sio kwa maisha haya ya sasa[emoji57][emoji57]Neema zinakuja
Sio kwa maisha haya ya sasa[emoji57][emoji57]Neema zinakuja
Mtoto wa darasa la kwanza begi mpka a nashindwa kubebaNatamani nianze darasa la kwanza lakini si kwa mtaala wa Africa.Muda mwingi tumepoteza kusoma historia tu
Kodi ndiyo inayowapa furaha, maana inafanya mambo yote. Acha walipe tu maana inawafikia wahusikaNdiyo maana wanaongoza kwa kuwa na furaha duniani. Mfungwa anaishi vizuri gerezani kuliko mfanyakazi wa Bongo.
Rushwa wamekaribia kuikomesha kabisa sema tu kodi zao ndo kiboko.
Aahaa
Acha kabisa ndio maana wengine tumejiajiri madameMtaala wa bongo ovyo tu,hapo nawaza 24yrs uko high school tena form5 then waenda chukua MD 5yrs mwaka wa 6 internship[emoji23][emoji23][emoji23]bado hujaangaika na kazi haki ya nani maisha haya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama Bob12 vileSote tumuonee huruma mume wa Witness Dalu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]![]()
Yaani acha kabisa haya maisha haya basi tuAcha kabisa ndio maana wengine tumejiajiri madame
Unasoma kwa shida sana hapo Tisa
Kumi ajira yenyewe ndio kizungumkuti
Bob12 anadai ni singo faza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama Bob12 vile
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nilitaka kucomment lakini wacha nipiteHapo unafikiri unahitaji milonge kiasi gani ndiyo angalau uonekane kuwa you put up a resistance?
HahahahahaBob aliingia kama mchungaji aliyeokoka. Baadaye akageuka akaanza kusema anahitaji milonge. Gia ya mwisho akawa singo faza anayelea kabinti ka miaka mitatu kaitwako Viv. Basi Jakitoo hoi mpaka akajitolea kupeleka mapera. Hata alipoambiwa kuwa kaViv hakali mapera akasema atapeleka biskuti na milonge. Hapo ndo nikajua kuwa nimepigwa shemeji[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]viv atakuwa anamuonea huruma basi tuBob12 anadai ni singo faza [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Afadhali mkuu...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nilitaka kucomment lakini wacha nipite
Na jinsi ya kutumia mambaKwetu wapi? Kule kuliko ungua shoka na mpini ukabaki salama , ndani ya Ziwa Nyanza? Utafundishwa uvuvi tu! [emoji3][emoji3]
Anaporomosha matusi kwa mgongo wa dini!! Watu wa aina hiyo huitwa "WANAFIKI"Ni mwepesi wa kuporomosha hata matusi.
Yap shimba mitandao ya kijamii ni mizuri ukitumia furusa sahihiOK. Ni vizuri kujua haya mambo mkuu. Leo hii mahesabu ya biashara ya nyanya yakinigomea nakuletea unaniangalizia. Nikiwa na wazo la ujasiriamali naenda kwa Mark Msue. Nikikwama kwenye Forex nakimbilia kwa Mzee wa Liva. Ufugaji wa ng'ombe na kuku natimkia kwa Mpare...Ndiyo faida ya haya mambo ya mtandaoni.
Amekuwa akiniulizia mara kwa mara kuhusu afya ya mama na sikuwahi kufikiri kuwa yuko pande hizo. Na kwa jinsi alivyo simpo, ucheshi na utani hata sikuwazia. Nimefurahi kulijua hili...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila mimi tangu mwanzo nilisema historia ya mijibaba ya humu inayoimba gospo si nzuri,hatimae utabiri umetimia...huyu bob anaingia kundi moja na kina moudgulf,ho na KK wazee wa kuvamia mazizi ya watu[emoji23][emoji23][emoji23]