Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

8. Makala duni

Kuna mtu mmoja aliwahi kusema kuwa watanzania wengi ni wavivu na hawapendi kusoma. Labda hili ndiyo sababu hata bloggers wengi wa kitanzania hawako tayari kujifunza jinsi ya kuandika makala nzuri kwa ajili ya wasomaji na injini pekuzi. Ni vyema ukafahamu mambo muhimu ya kuzingatia kwenye kila makala unayoiandika kama vile:
 
Hitimisho

Naamini sasa umefahamu kwanini watanzania wengi hawafanikiwi kwenye blog. Ni wazi kuwa blog ni kazi kama kazi zingine, hivyo inahitaji marifa stahiki na kuifanya kwa dhati. Naamini kama una blog au una mpango wa kuanzisha ya kwako hutokwamishwa tena na mambo tajwa hapo juu.
 
Kwa sasa hivi kupitia app ya Twitter kuna uwezo wa kutuma ujumbe kupitia Inbox bila sheria ya herufi 140, hivyo unaweza andika ujumbe mrefu kuliko ukitumia njia ya kutweet.

Kwa kawaida ukijiunga tuu Twitter mtandao huu huwa umezuia wewe kupokea ujumbe wa DM kutoka kwa mtumiaji mwingine yeyote – inatakiwa anakufollow na wewe uwe unamfollow.
 
Tuanze kwa watumiaji mtandao: Twitter.com

Bofya kwenye alama ya Profile (Profile Icon), hii ipo juu upande wa kulia…alafu chagua Settings
Upande wa kushoto kwenye orodha – nenda kwenye Security and Privacy – bofya hapo.
Shuka chini na utaona sehemu kumeandikwa Receive Direct Messages from Anyone – yaani pokea ujumbe wa moja kwa moja (inbox) kutoka kwa mtu yeyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…