Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa watumiaji wa app ya Android

Fungua app, nenda kwenye Settings
Kwenye orodha nenda na bofya Privacy and content
Angalia na tafuta ‘Receive Direct Messages from Anyone – yaani pokea ujumbe wa moja kwa moja (inbox) kutoka kwa mtu yeyote
Bofya kuweka kaalama kuruhusu kupokea ujumbe wa DM kutoka mtu yeyote, ondoa chaguo/alama kuzuia.
 
Kwenye watumiaji wa app ya iOS

Ingia kwenye app na bofya eneo la Me, kisha nenda kwenye Settings
Kwenye orodha nenda na bofya Privacy and content
Angalia na tafuta ‘Receive Direct Messages from Anyone ‘, chagua kuwasha (On) kupokea ujumbe kutoka kwa mtu yeyote na zima kuzuia.
 
da5417020452fb3d68066ce7c7855279.jpg
 
Back
Top Bottom