Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_3824.JPG
 
Wewe unadhani timu hiyo ina malengo yapi katika ligi?

Ina nini cha kujivunia kwa sasa?

Je kocha Wenger ana nini cha kuifanyia timu kwa sasa?

Je kocha ana utaalamu ambao hajauonesha kwenye timu mpaka sasa?

Je ni kweli ana nia nzuri na timu hoyo kwa sasa?

Sasa Arsenal ipo kituo cha basi kwa safari ya kwenda kokote ambako basi litakuwa linaenda.





Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom