Part 1&2 ipo tayariEeeh ndio mana sijapata mrejesho et
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe unadhani timu hiyo ina malengo yapi katika ligi?
Ina nini cha kujivunia kwa sasa?
Je kocha Wenger ana nini cha kuifanyia timu kwa sasa?
Je kocha ana utaalamu ambao hajauonesha kwenye timu mpaka sasa?
Je ni kweli ana nia nzuri na timu hoyo kwa sasa?
Sasa Arsenal ipo kituo cha basi kwa safari ya kwenda kokote ambako basi litakuwa linaenda.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Hili niliona tangu first day aingii kwenye Uzi wetu pendwaTatizo Mwenyekiti mtu akigusa profile yako occupation Umeandika KIBAKA. ndo mana mimi naita hivyo
Na huyo Binti ni Nani mkuu
CantstopwontStop