Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

5af798ad9a60ab037470d652a3617059.jpg
 
8. Makala duni

Kuna mtu mmoja aliwahi kusema kuwa watanzania wengi ni wavivu na hawapendi kusoma. Labda hili ndiyo sababu hata bloggers wengi wa kitanzania hawako tayari kujifunza jinsi ya kuandika makala nzuri kwa ajili ya wasomaji na injini pekuzi. Ni vyema ukafahamu mambo muhimu ya kuzingatia kwenye kila makala unayoiandika kama vile:
Hizo makala utaziandika atasoma nani? Watu waache kusoma bifu la Kiba na Mondi wakapoteze muda kusoma limakala lako? Hili ni tatizo kubwa kwa Tanzania. Ndiyo maana sasa Kenya ime-dominate uchapichaji wa vitabu vya Kiswahili. Kuna wasomaji na soko la vitabu ni zuri...
 
Back
Top Bottom