Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Tukuyu pmj na andjul[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kk unaishi wapi
Bila shaka ataitika vizuri tu[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji123] msalimie
Ee bwana nimekuja kuvinjari[emoji23] [emoji23]Mkuu niaje umetutembelea huku
Naona hata taka nchi yake iwe kama libyaYap! Kombora limekatisha laivu kwenye ardhi yao mpaka raia wakaonywa ku-take cover. Huyu dogo wa NK sijui anatafuta nini !!!
Aisee nifanyanyie mpango wa Kazi hapo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hizo makala utaziandika atasoma nani? Watu waache kusoma bifu la Kiba na Mondi wakapoteze muda kusoma limakala lako? Hili ni tatizo kubwa kwa Tanzania. Ndiyo maana sasa Kenya ime-dominate uchapichaji wa vitabu vya Kiswahili. Kuna wasomaji na soko la vitabu ni zuri...8. Makala duni
Kuna mtu mmoja aliwahi kusema kuwa watanzania wengi ni wavivu na hawapendi kusoma. Labda hili ndiyo sababu hata bloggers wengi wa kitanzania hawako tayari kujifunza jinsi ya kuandika makala nzuri kwa ajili ya wasomaji na injini pekuzi. Ni vyema ukafahamu mambo muhimu ya kuzingatia kwenye kila makala unayoiandika kama vile: