Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ndio bob dar hiyo[emoji23][emoji23][emoji23]au bagamoyo ile?
Hayo maneno ya watu yasikuogopeshe bhana
Ugali dona+mboga za majani+samaki kuchemsha+matunda+Maji mengi

2)Mlonge,Tangawizi,kahawa,pweza

3)Jogging la mana

Hebu jichangaje pande za bunju uone mwanaume wa dar nilivyo

Hata ukileta na chura mbili tatu[emoji39] [emoji39] [emoji39] si vibaya[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Umesahau matikiti,makomamanga matango n.k[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti si wanakimbiaga hadi panya road
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…