Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kinachonifurahisha zaidi katika hili janga kubwa la mafuriko kule Houston ni kuona watu wanavyosaidiana kuokoana bila kujali rangi zao. Mweusi anamuokoa mweupe na mweupe anamuokoa mweusi. HUMANITY AT ITS BEST! Mungu mkubwa na ashukuriwe sana.
Hakuna dhambi mbaya kama ya ubaguzi ashukuriwe Mwenye Enzi Mungu kwa Hilo
 
Back
Top Bottom