Kinachonifurahisha zaidi katika hili janga kubwa la mafuriko kule Houston ni kuona watu wanavyosaidiana kuokoana bila kujali rangi zao. Mweusi anamuokoa mweupe na mweupe anamuokoa mweusi.HUMANITY AT ITS BEST!Mungu mkubwa na ashukuriwe sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.