Mkuu ulichukua sit yangu kumbe
[emoji106] [emoji120]We miss you too Mkuu.
Poleni sanaIshakuwa kizaa zaa. Likimbunga limeegesha hapo kama gari bovu mvua inanyesha tu non stop, tena wanasema sasa limeanza kufyonza tena moisicha kutoka baharini na hivyo kuongeza nguvu. Ni tatizo kubwa !!!
miye nipo poaNiko poa namshukuru Mungu, thanks for asking. Vipi weye?
Nice app kwa kweliYeah. Kuna hii app ya lookout pia inasaidia. Ukipoteza simu unalogin kwenye kompyuta na inakuuliza kama unataka kui-lock au kui-reset kabisa hiyo simu iwe kama mpya ndo inatoka kiwandani. Wana encryption nzuri na ukishareset mtu wa kuweza kufukua na kupata vitu ulivyofuta inabidi awe hacker mzuri sana. Ndiyo nilitumia na nilikuwa na ile ya kulipia. Halafu uzuri mtu akijaribu kulog in kwenye simu yako akakosea mara tatu basi inampiga picha na kukutumia pamoja na location yake.
Kalia tu mkuu bado sikai kwa sasahahahahaha lol! Sikujua Mkuu ngoja niirudishe.