myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Wanaume wa dsr
Safi mzee wa tmk...habari ya pande hizo
Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Watu wa conspiracy wanasema jamaa alikufa kwa ugonjwa wa figo na siyo zile mbwembwe za Wamarekani.....
Ni uchungu UZUNGU umeshika USWAHILI sio sifa Tena
CantstopwontStop
Kwa hiyo obama alitudanganya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Watu wa conspiracy wanasema jamaa alikufa kwa ugonjwa wa figo na siyo zile mbwembwe za Wamarekani.....
Si umeona nimetaja matunda hapoUmesahau matikiti,makomamanga matango n.k[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti si wanakimbiaga hadi panya road
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyu atakuwa ni ho chi minh bila shaka[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa jeNa kapambana kweli hadi tumemjua
Misemo yako inanivunja mbavu kwakweli[emoji23][emoji23][emoji23]WAKUU WIKI HAISUKUMIKI KWA SUKUMA WIKI
CantstopwontStop
HahahahahaHazitoshi kwa Gulfstream. Hata mkweche wa helikopita tu hazitoshi. Labda msururu wa baiskeli au liVogue limoja[emoji23][emoji23][emoji23]