myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
22:18
Uniq mzee wa pwani mwenye PhD yake ya maswala ya Tezi dumeCarba mambo vipi Cole hajambo
Hahahahaha
Na ndiyo siri ya mafanikio hiyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sema jamaa anajuhudi na haogopi maneno ya watu
Mkitajiwa jina "Arsene Wenger" mnaweweseka!! Poleni. sisi Liverpool tumeshazoea, maana tumepotea kitambo tu.Aaah wewe
tumelizwa na vingi weye sembuse mpira yakhee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Acha nimshirikishe king kwanza viv tutafanya remixNooo
Acha ijenge heshima halafu utamshirikisha Viv[emoji4] [emoji4] [emoji41]
Kwa nini
Yakisemwa na hawa malegend wa arsenal yanakuwa na nguvuWengi tu watasema
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Acha nimshirikishe king kwanza viv tutafanya remix
Dah!!
Kazi yenu ni kujisifu kupiga wakubwa tu halafu mnatulizwa na kina Watford[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkitajiwa jina "Arsene Wenger" mnaweweseka!! Poleni. sisi Liverpool tumeshazoea, maana tumepotea kitambo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app