Liverpool legend alikosea sana kwenda man u
Salt bonge la movie ndio star kwenye hiyo movie
I am fine za miangaiko shemelaNiko poa shem... U gud?
Ni kawaida tu mkuu. Wewe unapenda nini?Watu mnapenda picha za utata!![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahahaWanaume bhana
Mama yako mzazi kakuweka tumboni miezi 9,kakunyonyesha maziwa yake miaka miwili,kakulea kwa shida mpaka nawewe umekua handsome😉😉,leo akikuomba laki 1 unampiga kiswahili ila demu wako umenyonya maziwa usiku mmoja tu na gari ukamnunulia 😱😱😱.
Wanapambana na hali yao