moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Nendeni kwa kasi mapema hii kabla hatujaanza majukumu ya kikazi
Nendeni kwa kasi mapema hii kabla hatujaanza majukumu ya kikazi
Yap.Ni June 22 2027?
We acha tu!
Una moyo wa huruma kula like yako....
Umekuja tulikuwa tunakuuliziaMornie
Swadakta kabisaMumeamkaje wakuu??
Thanks!
hatutaki kununa hapa ....ni kula like mpaka uvimbiwe
Waalike walio toana mapovu maana hapa ni stress free
Pamoja mkuuNaomba,niwape likes kabla sijaenda mahangaikoni
Haya...nawe pata likeYani yani
Kuamini ni zaidi ya kukubali kiakili
Upo mwana uzi
Kwa kweli ni mwendo wa happy happy joy joy
Karibu kusambaza likeWooow!! Jukwaani
Hakika Mungu ni mwema uzima nimepewa, habari yako rafikiMzima.....wewe je......
Hata mimi kaniudhi sana kwa kweli japo nimempa like...[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe nyumbani kwenu kuna wakubwa
unajua kushukura sana hebu kula like ya kuwa
muungwana...
MornieMornie wana Jf